Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,772
Simu gani iyoView attachment 1805307mkuu soma hapo juu imetumika kwa mda gani, then angalia charge iliyobaki, halafu aje yeyote humu mwenye benchmark hiyoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu gani iyoView attachment 1805307mkuu soma hapo juu imetumika kwa mda gani, then angalia charge iliyobaki, halafu aje yeyote humu mwenye benchmark hiyoo.
Umeuliza kwa upana, nami nitajibu kwa mapana...Ok naomba nitajie simu yenye bei zaidi Duniani...na hiyo ndio yenye thamani.
Haina beauty au siyo??.Kwa vingine sawa
Camera yake ni nzuri,lakini haijafikia kwenye kali sana
HongeraNdio ninayoitumia hapa, sijutii laki tatu na nusu yangu kwa kweli
1. Simu ina Helio p35 kama Tekino. 12nm mwaka 2021 wakati watu wapo kwenyw 5nm.Leo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana...storage ya kutosha lakini kwenye betry ndo nilichoka yani simu ina 60% lakini inaandika 1DAY mpaka iishe kabisa to 0%. Kiukweli kwa laki 4 tu kupata simu nzuri hivi ni kuonesha Samsung wapo vyema sana with low cost unapata kilicho bora. Nitaitafuta soon.
Hazijui camera kali.Kwa vingine sawa
Camera yake ni nzuri,lakini haijafikia kwenye kali sana
Ila alisema kwa sisi watu wa chini1. Simu ina Helio p35 kama Tekino. 12nm mwaka 2021 wakati watu wapo kwenyw 5nm.
2. Simu camera yake mwisho wa kurecord video ni 1080p 30fps
3. LTE category 4 kama tekino simu hata halina speed ya internet.
4. Poor display quality
5. Plastic frame
Hapo hamna simu mzee. Siku ukishika simu nzuri ya Samsung njoo tena.
Low end ni pamoja na hiyo unayoisifia hapa. Siku ukishika premium device utakuja kufuta ulichoandika hapa.kweli mkuu labda wewe level zako ni S10 ndo maana unaleta tambo zako hapaaaa… low end unazijua wewe
Ulichomzidi wewe huyo iphone ni kukaa na charge tu. Hamna kingine.Kuna msichana kanunua iphone 6s kwa laki tatu kisa kufuata mkumbo wa iphone, hapa alipo anatamani nimuuzie A12 yangu maana kwake kutembea na chaja kawaida.
kweli ni low end mkuu hata me nakubali. Ilaa kwa wale wenye laki 350 mpaka 400k kina kabwela ni HIGH END PHONE.1. Simu ina Helio p35 kama Tekino. 12nm mwaka 2021 wakati watu wapo kwenyw 5nm.
2. Simu camera yake mwisho wa kurecord video ni 1080p 30fps
3. LTE category 4 kama tekino simu hata halina speed ya internet.
4. Poor display quality
5. Plastic frame
Hapo hamna simu mzee. Siku ukishika simu nzuri ya Samsung njoo
Low end ni pamoja na hiyo unayoisifia hapa. Siku ukishika premium device utakuja kufuta ulichoandika hapa
S9 plus simu ya hovyo bora hata s8 pluskweli chaji inakaa sana me na s9 plus muda wote natafuta chaji
Duu mtu kani Direct mwenyewe niongelee thamani sokoni.Umeuliza kwa upana, nami nitajibu kwa mapana...
Falcon Supernova iPhone 6 Pink Diamond - $48.5 million...View attachment 1805572
Hii kwa nini ina thamani hio????
Sio sababu ni bora, ni materials zilizotumima kui nakshi,
Umeona sasa????
Kumbe unajua thamani HALISI ya kitu ipo sokoni, na sokoni nako inapewa thamani kutokana na materials, ubora n.k
Sasa ilikuaje ukasema simu hii akitumia tajiri ni takataka akitumia maskini ni high class?
Ukienda dukani price tag za simu zinaandikwa kutokana na maskini na tajiri???
Unajisifia nini simu ilishuka charge mpaka 40 ukaiboostboost mpaka 60. Hiyo simu ni takataka bro.
Mimi simu yangu ni 4000mAh ila charge inakaa siku mbili complete tena huwa sizimi data
Mbona unakua msahaulifu mkuu,Duu mtu kani Direct mwenyewe niongelee thamani sokoni
Mkuu kumbukumbu ni muhimu, hii kitu nilishamaliza huko juu.Alafu thamani si mada iliyopo mezani...suala ni ubora wa simu kulingana na bei
Hio simu kwa bei ya 300-400k(kutokana na maeneo)
Ni sawa kabisa.
Wewe siwezi nikajibishana na wewe mkuu,Unajisifia nini simu ilishuka charge mpaka 40 ukaiboostboost mpaka 60. Hiyo simu ni takataka bro.
Mimi simu yangu ni 4000mAh ila charge inakaa siku mbili complete tena huwa sizimi data