Acha ushamba..Simu ni I phone tu asikudanganye mtu nyingine zote photocopy believe me
Inaweza kushuka hasa kulingana na storage na ram
Maana ram inacheza kati ya 2GB-6GB
Internal storage kati ya 32GB-128GB.
Hio ndio inaamua bei kupanda na kushuka.
Amante mkuuInaangukia popote kati ya 800k-1M.
Nokia smartphone zao sio kali...utajuta..Naomba msaada na mm hapa jamani. Brand Samsung au Nokia. Budget laki 5.
Betri angalau siku 1 nzima au 2.
RAM (ROM) nzr. Internet iwe na kasi.
Storage ikiwa ya kutosha ita pendeza pia.