Samsung 12 ni kiboko

Samsung 12 ni kiboko

Inaweza kushuka hasa kulingana na storage na ram
Maana ram inacheza kati ya 2GB-6GB
Internal storage kati ya 32GB-128GB.
Hio ndio inaamua bei kupanda na kushuka.

Mkuu kati ya S10 na S10+ ni ipi iko vizur
 
Naomba msaada na mm hapa jamani. Brand Samsung au Nokia. Budget laki 5.
Betri angalau siku 1 nzima au 2.
RAM (ROM) nzr. Internet iwe na kasi.
Storage ikiwa ya kutosha ita pendeza pia.
 
Naomba msaada na mm hapa jamani. Brand Samsung au Nokia. Budget laki 5.
Betri angalau siku 1 nzima au 2.
RAM (ROM) nzr. Internet iwe na kasi.
Storage ikiwa ya kutosha ita pendeza pia.
Nokia smartphone zao sio kali...utajuta..
Samsung upate mpya kwenye maduka yao sio kkoo
 
Back
Top Bottom