Samsung A 02S Vs samsung A 12 Ipi ninunue?

Samsung A 02S Vs samsung A 12 Ipi ninunue?

A02s hakuna simu hapo inazidiwa kila kitu na A10s yan kikubwa ni bettry,camera, Rom, na Ram ila processor ambayo ndo simu yenyewe ndogo... Yan bora Spark 4 kabisaa


Kama unapenda Samsung inayokaa na chaji chukua A02s
Hujui simu wewe...yaani A10s ukalinganishe na A02s??
 
Kwa around 300k mpaka 400k chukua Xiaomi redmi 9T hapo kenya kama Una mtu muagizie. Overall ndio simu nzuri zaidi kwa hii budget.

Kama budget inaongezeka kidogo 380k mpaka 450k xiaomi redmi note 10 ni nzuri zaidi.

Kuhusu A02 hii simu bei yake ni chini ya 300k, recommended price 250k kushuka, kama wadau walivyo shauri huko juu soc yake snapdragon 450 inakaa na chaji sana na haina nguvu.
Mkuu hii Redmi 9t inapata Android 11 kweli??
 
Back
Top Bottom