Samsung "A series" ni simu zenye ubora hafifu; kuwa makini

Samsung "A series" ni simu zenye ubora hafifu; kuwa makini

Nitajie brand 5 za samsung ambazo ni hi quality na zinazo trend kwa sasa kwenye markert,bila kujali gharama zake.
 
A10 kama tecno? We ulisikia wapi?.A series zote zisizo na (s) ni nzuri sana.zimepotea madukani pia.
Mkuu unataka kusema A20 ni nzuri kuliko A20s?
Kama ni ndio basi automatic A10s na A20s ni kimeo.

Naomba ufafanuzi uzuri wa A20 na A10
 
Mkuu unataka kusema A20 ni nzuri kuliko A20s?
Kama ni ndio basi automatic A10s na A20s ni kimeo.

Naomba ufafanuzi uzuri wa A20 na A10
Screen ya A20 ni nzuri kuliko A20s. Ila A10s ni bora kuliko A10 kwenye kila kitu.
 
Natumia Samsung A10 kwa kweli ipo tofauti na TECNO nilizowahi kutumia huko nyuma.

Ila kwenye kipengele cha kuchelewa kuconnect data nakubaliana na wewe wakati mwingine unaweza ukaunga bando la MB lakini bado simu inakuambia hauna data.

Ni simu nzuri kwa sisi wenye kipato cha chini. Hata mtu simshauri achukue TECNO.

Hii Samsung A10 naona ipo vizuri sana kwenye Camera mchana tofauti na TECNO.
Kwahiyo hawa watu wanatudanganya?
 
Mkuu unataka kusema A20 ni nzuri kuliko A20s?
Kama ni ndio basi automatic A10s na A20s ni kimeo.

Naomba ufafanuzi uzuri wa A20 na A10
Stability mkuu,A kavu ni za uhakika zaidi kuliko As.bila kujali specification.nimetumia A10,mwanangu anayo A10s.wife alitumia A30 baadae akahamia A30s baada ya A30 kuporwa na kishandu,alipoenda kutafuta tena A30 dukani akakuta zimepotea,akachukua A30s.anajuta kuifahamu.
 
mpe pole[emoji3][emoji3].

mimi nina a20 anatumia wife,jamaa yangu alikuwa na a30s,30s haina maajabu ya msingi kuizidi 20.

labda wameamua kuwa matapeli sasa.
 
mpe pole[emoji3][emoji3].

mimi nina a20 anatumia wife,jamaa yangu alikuwa na a30s,30s haina maajabu ya msingi kuizidi 20.

labda wameamua kuwa matapeli sasa.
Sijui waliwaza nini kutoa hizi As
 
Hapana ya kwangu haina hizo changamoto tena ni A01,ilikuwa haiwezi kubeba laini mbili na ukaendelea kupata huduma,lakini sasa ipo vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiudanganye Umma.Natumia Samsung A30 nilinunua 570k mwaka wa pili huu sasa na iko imara sana na wala haijawahi kuniletea shida yoyote.Mtandao 4g speed kubwa mno mpaka wengine wanashangaa! Display safi screen inang'aa, Charge ndio usiseme fast charge na inakaa muda mrefu.Camera quality ni Bora kabisa yaani kwa kifupi haijawahi kuniletea shida yoyote sijui kustack au kugoma kuwaka hayo mambo hakuna kwenye A series.Tatizo mleta mada kanunua simu refurbished akajua OG
 
Stability mkuu,A kavu ni za uhakika zaidi kuliko As.bila kujali specification.nimetumia A10,mwanangu anayo A10s.wife alitumia A30 baadae akahamia A30s baada ya A30 kuporwa na kishandu,alipoenda kutafuta tena A30 dukani akakuta zimepotea,akachukua A30s.anajuta kuifahamu.
A30 ni mashine ndugu yangu nadhani ndio maana zimeadimika kwa sasa baada ya soko kuvamiwa ila zina ubora wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom