Phone4Sale Samsung A05S

Pettrus

Member
Joined
Aug 28, 2024
Posts
48
Reaction score
45
Samsung A05s
♦️Ram 6Gb
♦️Storage 128Gb
♦️Clean

💰Bei 250,000/=

📍Ubungo flyover
☎️0769503968
 
Dah ila maisha,,,,hizi simu ndo wanazikopesha,,,, kila siku 1000/1500! Unalipa mwaka mzima, na kianzio juu umetoa! Ukijichanganya kukopa unaweza kuinunua hii simu karibia mara tatu yake ya bei halisi ! Mikopo inafilisi !
Unazo nyingi au ndo hiyo pisi moja?
 
Mm situmii Samsung chief ! Nimezungumzia hali halisi Ilivyo mtaani ! Kuna simu, bajaj , pkpk za mikopo n.k! Mtu unalipia mara mbili ya bei halisi! Umasikini huu dah, mikopo sio poa
Ni kweli mkuu japo nilikuquote kimakosa, watanzania sijui ni kwa sbb ya umaskini ama wakati mwingine ufahamu mdogo, wanafurika kwenye mikopo kiasi kwamba mtu anatembea amejaa mikopo mwili mzima, kuanzia mkopo wa vocha, simu, na ndani ya simu kuna songesha na wakopeshaji wengine wa mitandaoni, bado kuna kausha damu huko mitaani na list inaendelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…