Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazo nyingi au ndo hiyo pisi moja?Dah ila maisha,,,,hizi simu ndo wanazikopesha,,,, kila siku 1000/1500! Unalipa mwaka mzima, na kianzio juu umetoa! Ukijichanganya kukopa unaweza kuinunua hii simu karibia mara tatu yake ya bei halisi ! Mikopo inafilisi !
Unazo nyingi au ndo hiyo pisi moja?Samsung A05s
♦️Ram 6Gb
♦️Storage 128Gb
♦️Clean
💰Bei 250,000/=
📍Ubungo flyover
☎️0769503968View attachment 3152226View attachment 3152227
Mm situmii Samsung chief ! Nimezungumzia hali halisi Ilivyo mtaani ! Kuna simu, bajaj , pkpk za mikopo n.k! Mtu unalipia mara mbili ya bei halisi! Umasikini huu dah, mikopo sio poaUnazo nyingi au ndo hiyo pisi moja?
Imebaki hii pisi moja kaka changamkia nicheki 0769503968Unazo nyingi au ndo hiyo pisi moja?
Ni kweli mkuu japo nilikuquote kimakosa, watanzania sijui ni kwa sbb ya umaskini ama wakati mwingine ufahamu mdogo, wanafurika kwenye mikopo kiasi kwamba mtu anatembea amejaa mikopo mwili mzima, kuanzia mkopo wa vocha, simu, na ndani ya simu kuna songesha na wakopeshaji wengine wa mitandaoni, bado kuna kausha damu huko mitaani na list inaendelea...Mm situmii Samsung chief ! Nimezungumzia hali halisi Ilivyo mtaani ! Kuna simu, bajaj , pkpk za mikopo n.k! Mtu unalipia mara mbili ya bei halisi! Umasikini huu dah, mikopo sio poa
150k tufanye biznesSamsung A05s
♦️Ram 6Gb
♦️Storage 128Gb
♦️Clean
💰Bei 250,000/=
📍Ubungo flyover
☎️0769503968View attachment 3152226View attachment 3152227