Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mkuu michongo ya online kuna jamaa analetaga sana humu anaitwa GLOBAL CITIZEN huyu jamaa! Jaribu kubonga nae zaidi anaijua jua.Mkuu asante sanaaaa, vipi huijui michongo ya online mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu michongo ya online kuna jamaa analetaga sana humu anaitwa GLOBAL CITIZEN huyu jamaa! Jaribu kubonga nae zaidi anaijua jua.Mkuu asante sanaaaa, vipi huijui michongo ya online mkuu
Mkuu asante sanaaaa, vipi huijui michongo ya online mkuuCha kukusihi tu tafta ramani kwanza hata ujue ka mzigo utachukua mahali flani uzungushe mkaliwade!
Bila hivyo utachoma tu, mi naelewa mambo ya hela nshapotezaga hela ndefu sana! Unachukua M huna ramani unajikuta mara umebunya laki imebaki 9...unaona aah bado ipo lakini mara paap 7! Mara 5 eeh! Mwisho unabakia na makende sababu pa kuipeleka ili ilete hela nilikuwa sinapo.
AsanteMkuu michongo ya online kuna jamaa analetaga sana humu anaitwa GLOBAL CITIZEN huyu jamaa! Jaribu kubonga nae zaidi anaijua jua.
Mkuu, nipo Rukwa pia, ila kwa sasa mzunguko wa pesa ni mdogo maana watu wengi wamepeleka hela mashambani. Nilikua na kibiashara ila nataka niachane nacho nirudi mjini. Ungefanya hata manual work, uvumilie walau kiangazi unaweza kupata cha kufanya. Kwa sasa biashara ni ngumu sana huku mkoani. (Nipo Rukwa pia)Mkuu no ramani ila mwili na akili vinaniambia niuze huenda nikafanya jambo la kuniingizia hela, naogopa kukaa sehemu natumia hela but sina vyanzo vya kuingiza niliyotumia na hata zaidi, nikahis kama n cm ntaikutaga mbeleni
Mkuu asante ntakucheki pm nikitulia mkuu, asanteMkuu, nipo Rukwa pia, ila kwa sasa mzunguko wa pesa ni mdogo maana watu wengi wamepeleka hela mashambani. Nilikua na kibiashara ila nataka niachane nacho nirudi mjini. Ungefanya hata manual work, uvumilie walau kiangazi unaweza kupata cha kufanya. Kwa sasa biashara ni ngumu sana huku mkoani. (Nipo Rukwa pia)