kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Na 260k?Hata 250k nisingechukua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na 260k?Hata 250k nisingechukua.
Mkuu kama mtu yeyote atakuwa serious basi atanishawishi sio chini ya 300k otherwise siwezi kuiuza manake nauza ili nibadilishe simu nyingine tu sio kwamba nina haraka hapana. Simu bado mpya hata ukiiona nikakwambia imetoka leo dukani unaweza kuamini lakini ina miezi miwili.Na 260k?
Hahahahah Ncha Kali , makaLi kama msumari,skupingi nakubaLi sana askari🤣🤣🤣Yes bishoo HASWAAAAAA…!!