Samsung A22 ipoje wakuu msaada

Samsung A22 ipoje wakuu msaada

Naombeni msaada wakuu kufahamu Samsung A22 Upande wa Camera Na kukaa na chaji
Betri ni 5000, so ipo vzr sana. Camera ni yakwaida tu, not so premium. Simu kwa matumizi mengine haina shida kbs, ipo vzr.

Kama unataka Camera Kali nenda Google pixel au Flagship phones like S series, Note for Sumsung.

Kama pesa ni kiduchu, below 500 chukua hiyo 22
 
nashukuru mkuu kwa ushauri wako so far camera inaweza endana A13?
 
Betri ni 5000, so ipo vzr sana. Camera ni yakwaida tu, not so premium. Simu kwa matumizi mengine haina shida kbs, ipo vzr.

Kama unataka Camera Kali nenda Google pixel au Flagship phones like S series, Note for Sumsung.

Kama pesa ni kiduchu, below 500 chukua hiyo 22
Umeidogosha sana.
A22 imetulia kwa uimara. Sijaweka protector ya screen tangu 2022 na imeanguka sana hakuna mchubuko kwenye kioo.

Mkuu hebu rekebisha kauli
 
Ningekuwa wewe nachukua S21 used ina kila kitu kuzidi A22 na bei zinaendana. A series sizipendi

S21
eSIM
5G
More screen quality (you feel that Samsung)
Camera ndio mbingu na ardhi dhidi ya A22

Advantage ya A22 ni warranty na lifespan ila siwezi ichagua over S21.
 
Naomba ulinganifu wa bei mkuu
 
Sijui kwanini napata mashaka sana kila ninapoona simu ina chipset za MediaTeki
Mediatek ni kama Tekno tu,hapo hamna simu
Halafu kuna kitu watu hawajui, resolution ya kioo cha simu pamoja na ppi density ndio inafany kamera ionekane inafanya kazi nzuri sasa unakuta camera 15 megapixel kioo resolution 700×1200
Ppi density 267, unapiga picha nzuri lakini huwezi kuziona vizuri kwakuwa kioo sio kizuri...hapo maana yake hamna kitu umepigwa

Kwangu mimi simu ili iwe nzuri ukiachana na vitu vingine ppi lazima ziwe zaidi ya 400
 
Back
Top Bottom