Samsung A30s na Tecno Camon 12 pro. Simu ipi kali?

Samsung A30s na Tecno Camon 12 pro. Simu ipi kali?

Mkuu acha basi dharau unafanamishaje Samsung na tecno aiee hata kama ingekuwa Samsung a20 au 10 huwezi kufananisha na techo hata ikiwa phantom 9 au 11 cjui 12 mi natumia a30 tu wala sio a30s now nimeshapata apdate ya latest version ya android 10 now nina run android 10 na one UI 2.. Huyo mwenye tecno ana run android ngap kuna tecno itapata update ya android 10 [emoji647] big noooo 0View attachment 1376650
Samsung A -M ovyo kabisa display kama za tecno zikiingia maji lazim uone ramani kwa ndani.lingine chip mtk hapo wameunganga na tecno kusaka soko la walala hoi!ukitaka simu tafuta matoleo haya S-M-N hizo ndio samsung
 
Hivi una fananishaje smartphone na smart calculator?
Nakupa cha kufanya.ili ujue kipi bora.
Bila specification.

Kutana na watu 10,ukikuta wengi kati ya hao wanatumia smart calculator(tecno)
Utagundua wabongo wengi wanapenda vitu rahisi km hzo.
Lkn ukiaona ni wachache wanaotumia kitu smartphone(Samsung) kati ya hao 10.

Basi kimbia fasta kachukue Samsung uipendayo.
Usitusumbue ss.
 
Back
Top Bottom