Samsung A30s na Tecno Camon 12 pro. Simu ipi kali?

tecno camon 12 inafanana na samsung A10S
 
Samsung A -M ovyo kabisa display kama za tecno zikiingia maji lazim uone ramani kwa ndani.lingine chip mtk hapo wameunganga na tecno kusaka soko la walala hoi!ukitaka simu tafuta matoleo haya S-M-N hizo ndio samsung
 
Hivi una fananishaje smartphone na smart calculator?
Nakupa cha kufanya.ili ujue kipi bora.
Bila specification.

Kutana na watu 10,ukikuta wengi kati ya hao wanatumia smart calculator(tecno)
Utagundua wabongo wengi wanapenda vitu rahisi km hzo.
Lkn ukiaona ni wachache wanaotumia kitu smartphone(Samsung) kati ya hao 10.

Basi kimbia fasta kachukue Samsung uipendayo.
Usitusumbue ss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…