yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Hela ngumu mkuu[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela ngumu mkuu[emoji3][emoji3]
Pitia vizuri huu jukwaa la matangazoHeeh! Mwingine nani?
Heeh! Mwingine nani?
Samsunga A72 mpya kwa 650,000 nioneshe wapi wanauza asee nikachukue [emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli wewe ni Ncha Kali , rudia nilichoa quote alafu unielewe.. acheni kukunjiana biashara.Ukachukue nyingine kwa pesa gani kama kweli unauza utatue changamoto..!!
Nakuelewa vizuri.. nikajua umepitiwa 😀😀Take easy mkuu, nilidhani ni OP ndiye kaandika hayo.
Matatizo yameisha ? Komaa kushusha bei umalize matatizo yako, usibishane nao.. maana akikuonyesha ataonyesha hata wenye nia ya kuichukua kwa 650, wataenda kwenye mpyaSamsunga A72 mpya kwa 650,000 nioneshe wapi wanauza asee nikachukue [emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe ni chenga kweli, mie nimemuuliza wapi wanauza nikanunue kwa hiyo bei sio kwamba nauza hiyo simu... unawashwa kweli weweMatatizo yameisha ? Komaa kushusha bei umalize matatizo yako, usibishane nao.. maana akikuonyesha ataonyesha hata wenye nia ya kuichukua kwa 650, wataenda kwenye mpya