Phone4Sale Samsung Galaxy A14 imetumika mwezi tu

Mkuu kumbe ukinunua iPhone 15 tayari unakuwa tajiri? Hili sikulijua maana naona nchi hii ina matajiri wengi mno sema tu hawapendi kujitangaza maana wanaomiliki iPhone 15 ni wengi.
 
HAYA BEI IMEPUNGUA, Njoo na 240,000.
Pia napokea exchange nipe simu na hela
 
Mkuu kumbe ukinunua iPhone 15 tayari unakuwa tajiri? Hili sikulijua maana naona nchi hii ina matajiri wengi mno sema tu hawapendi kujitangaza maana wanaomiliki iPhone 15 ni wengi.
Onyesha niliposema ukinunua Iphone 15 tayari unakuwa tajiri!!
 
Ningenunua hii ila sijaona namna ya kuwasiliana na muuzaji.
 
Hii Galaxy A-14 sio hizi wanazouza tigo kwa mkopo ambapo unatoa cash 120k then unakuwa unalipa 2400 kila siku kwa muda wa siku 360?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…