Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Chuma kimetulia wale wanaopata shida na simu za infinix chuma hichoChuma Hicho Ndiyo Ninayoitumia Kufanya Comment Hapa JF
Hiyo simu inajulikana boss.Weka Sifa zake
Uwezo wa betri
Capacity yake Ram na Rom
Line ngapi??
Hiyo simu inajulikana boss.
Unafail..Hiyo simu inajulikana boss.
Na siku hizi ndo mitindo yao hii..Siku hizi kununua mali mkononi labda niwe namfahamu muuzaji.
Hizi gadgets hizi mmmh, unakuta ishawekwa bugs kama hardware kisha kila hatua unayopiga unao.
Lakini namuombea jamaa apate soko
Hakika...anaweza pata waliokaribu nae...humu kuaminika ni ngumu kidogoSiku hizi kununua mali mkononi labda niwe namfahamu muuzaji.
Hizi gadgets hizi mmmh, unakuta ishawekwa bugs kama hardware kisha kila hatua unayopiga unao.
Lakini namuombea jamaa apate soko
Tiar bossWeka Sifa zake
Uwezo wa betri
Capacity yake Ram na Rom
Line ngapi??