Samsung Galaxy s21 Ultra wanauzaje?

Ngoja waje kukupa muongozo...
Kuna muuzaji mmoja kaniambia hizi simu kwa sasa sokoni hazipatikani kwa hiyo hizi wanazouza 1.7million ni Refurb ila ni full boxed... ila mm sitaki kuamini kuwa ni kweli hizi simu mpya hakuna kabisa sokoni
 
Leta 180 ni OG
 
Attachments

  • 16635719421993122920986671235788.jpg
    172.7 KB · Views: 32
Chief-Mkwawa njoo utusaidie kwenye hili kiongozi
Mkuu S21 ultra bado ipo kwenye warranty, ni simu ya mwaka jana tu, nenda maduka ambayo ni verified na Samsung uhakikishe unapewa yenye warranty.

Na bei ndo hizo 2.5M

1.7m labda refurb.

Pia mkuu kwanini usinunue S22 ultra kama una hio budget?
 
s22 ultra ya gb 256 naweza pata kwa hiyo 2.5 hadi 2.8? Naomba kama unalink yoyote ya duka la certified samsung supplier nitajie either kama Mliman au kokote pale.
 
s22 ultra ya gb 256 naweza pata kwa hiyo 2.5 hadi 2.8? Naomba kama unalink yoyote ya duka la certified samsung supplier nitajie either kama Mliman au kokote pale.
Yapo mengi mkuu, Tigo na Voda pia ni official

Cheki hapa list ya maduka
 
Hiyo uliotach sio
S21 ultra hiyo ni s22 ultra na bei yake ina range kuanzia 2.8M hv
 
Naomba kujua zaidi tofauti ya simu za kutoka dubai na kutoka korea, kuna tofauti ya ubora au zipi mpya na ipi refurbished?
Mkuu iko hivi Dubai hakuna kiwanda cha simu,simu zinazouzwa Dubai zinatoka nchi mbalimbali ikiwemo Korea,vietnam,USA,UK,China na zinaweza kuja zikiwa mpya au used.
Lakini kundi lingine la simu ni zile ambazo zililetwa Dubai zikiwa mpya,wateja wakanunua na kuzitumia kwa miezi kadhaa kisha wanapeleka madukani wanauza na kununua version mpya.
Ndio iko hivyo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…