Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,636
- 2,053
- Thread starter
- #21
Kuna muuzaji mmoja kaniambia hizi simu kwa sasa sokoni hazipatikani kwa hiyo hizi wanazouza 1.7million ni Refurb ila ni full boxed... ila mm sitaki kuamini kuwa ni kweli hizi simu mpya hakuna kabisa sokoniNgoja waje kukupa muongozo...