Phone4Sale Samsung Galaxy S24 Ultra GB 256 Inauzwa Kwa TZS 2,599,999/= Full boxed

Phone4Sale Samsung Galaxy S24 Ultra GB 256 Inauzwa Kwa TZS 2,599,999/= Full boxed

Mr Confidential

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,532
Reaction score
2,415
Wakuu,

Nina Samsung Galaxy s24 Ultra, nimenunua jana baada ya kukosa Google pixel 9.

Hili simu ni pana sana, nashindwa kuishika vizuri. Ili niitumie nashika kwa mikono miwili. Sipo comfortable nayo.

Components zake:
  • Simu yenyewe
  • Cover
  • Original charger (kichwa original nimekinunua Samsung Shop). Simu imekuja na USB pekeake.
  • Ina protector privacy
Kama nitapata pixel 9 tutafanya mazungumzo

0764613436

PXL_20240906_083819795.jpg
PXL_20240906_083839083.MP.jpg
PXL_20240906_083846769.MP.jpg
 
Tokea nimehamia Pixel kutokea Samsung,sijawahi kujuta wala kuziwazia simu za Samsung...
Napendea portability yake. Hii s24 ultra kuishika ni tabu. Siwezi kutumia mkono mmoja kuandika text, lazima niitumie mikono miwili
 
Nina uhitaji nalo Ila kwa saivi sipo vizurii mkuuuuuu, Kula la kheeriii
 
Kijana wangu, kununua simu ya gharama kubwa kiasi icho ni matumizi mabaya ya pesa,
Atakama unakipato kikubwa Sanaa usifanye ivo, Af hiyo simu ukiagiza china ni Bei nafuu tu.
 
Napendea portability yake. Hii s24 ultra kuishika ni tabu. Siwezi kutumia mkono mmoja kuandika text, lazima niitumie mikono miwili
Flagship za samsung nzuri sana mimi natumia toleo la mwaka jana 2023 ni nzuri sana huo ukubwa wake ndo raha yenyewe amazing display, camera nzuri sana.

20240720_203652.jpg
 
Wakuu,

Nina Samsung Galaxy s24 Ultra, nimenunua jana baada ya kukosa Google pixel 9.

Hili simu ni pana sana, nashindwa kuishika vizuri. Ili niitumie nashika kwa mikono miwili. Sipo comfortable nayo.

Components zake
*Simu yenyewe
*Cover
*Original charger (kichwa original nimekinunua Samsung Shop). Simu imekuja na USB pekeake.
*Ina protector privacy

Kama nitapata pixel 9 tutafanya mazungumzo

0764613436
Twende na vyote, ni fundi gani aliyekuwekea hizo tiles, au ulipiga picha ukiwa dukani?
 
Kuuza simu kwa bei ulonunulia ni ngumu kweli!
 
Back
Top Bottom