version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 841
- 2,004
Chuma ya kazi hiyo mkuu, unataka kitu gani tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni pana sana, nataka nirudi kwenye pixel. Nlikosa Pixel 9, nikaona nichukue s24 ultra.Chuma ya kazi hiyo mkuu, unataka kitu gani tena
Sijanunulia bei hio mkuu. Hapo Kuna discount ya 300,000+Kuuza simu kwa bei ulonunulia ni ngumu kweli!
Wakuu,
Nina Samsung Galaxy s24 Ultra, nimenunua jana baada ya kukosa Google pixel 9.
Hili simu ni pana sana, nashindwa kuishika vizuri. Ili niitumie nashika kwa mikono miwili. Sipo comfortable nayo.
Components zake
*Simu yenyewe
*Cover
*Original charger (kichwa original nimekinunua Samsung Shop). Simu imekuja na USB pekeake.
*Ina protector privacy
Kama nitapata pixel 9 tutafanya mazungumzo
0764613436
Mpaka dakika hii bado natumia pixel, nimeshindwa kabisa kuhamia Samsung kwa sababu ya hii sizeSamsung wanazingua hapa tu sim zao ni kubwa sana hauwezi kuishika kwa mkono mmoja na kitumia vizur, wakirekebisha hapa basi hakuna kama Samsung.
Pixel nazipendea camera tu muonekano wake mdogo inashikika
Nimetoka kwenye iphone nkachukua S24 ultra, sijutii kwa kwel. So perfect.Nimeghairi kuuza, hiki chuma ni balaa
Kuna shida mahala katika maelezo. Samsung wametoka machaguo matatu, S24, S24+ na S24 UltraSikuipima mkuu, nliexpect itakua kama Pixel 6a ninayotumia Sasa hivi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimeghairi kuuza, hiki chuma ni balaa
Kuna machaguo matatu, Plain, Plus na Ultra. Chagua kutokana na size ya mkono wako na mapenzi yako.Samsung wanazingua hapa tu sim zao ni kubwa sana hauwezi kuishika kwa mkono mmoja na kitumia vizur, wakirekebisha hapa basi hakuna kama Samsung.
Pixel nazipendea camera tu muonekano wake mdogo inashikika