Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Sikuipima mkuu, nliexpect itakua kama Pixel 6a ninayotumia Sasa hiviunainunua hukuipima?
Napendea portability yake. Hii s24 ultra kuishika ni tabu. Siwezi kutumia mkono mmoja kuandika text, lazima niitumie mikono miwiliTokea nimehamia Pixel kutokea Samsung,sijawahi kujuta wala kuziwazia simu za Samsung...
Wengine wanapenda kubwaSema ubaya wa iyo simu size yake ni kubwa mno
Pesa napata kwenye ajira na biashara mkuuHiyo pesa uliipataje mpaka kununua kitu bila kujishauri.
Flagship za samsung nzuri sana mimi natumia toleo la mwaka jana 2023 ni nzuri sana huo ukubwa wake ndo raha yenyewe amazing display, camera nzuri sana.Napendea portability yake. Hii s24 ultra kuishika ni tabu. Siwezi kutumia mkono mmoja kuandika text, lazima niitumie mikono miwili
Twende na vyote, ni fundi gani aliyekuwekea hizo tiles, au ulipiga picha ukiwa dukani?Wakuu,
Nina Samsung Galaxy s24 Ultra, nimenunua jana baada ya kukosa Google pixel 9.
Hili simu ni pana sana, nashindwa kuishika vizuri. Ili niitumie nashika kwa mikono miwili. Sipo comfortable nayo.
Components zake
*Simu yenyewe
*Cover
*Original charger (kichwa original nimekinunua Samsung Shop). Simu imekuja na USB pekeake.
*Ina protector privacy
Kama nitapata pixel 9 tutafanya mazungumzo
0764613436
Nina pixel 6A.. nita prefer pixel 9 mkuuTubadilishane, chukua pixel 4a 5g unipe hiyo S24