Phone4Sale Samsung Galaxy S24 Ultra GB 256 Inauzwa Kwa TZS 2,599,999/= Full boxed

Kuuza simu kwa bei ulonunulia ni ngumu kweli!
Sijanunulia bei hio mkuu. Hapo Kuna discount ya 300,000+

Maana Nimeongezea
*Kichwa Original Cha chaji kutoka duka la Samsung
*Privacy protector
 
Samsung wanazingua hapa tu sim zao ni kubwa sana hauwezi kuishika kwa mkono mmoja na kitumia vizur, wakirekebisha hapa basi hakuna kama Samsung.

Pixel nazipendea camera tu muonekano wake mdogo inashikika
 
Mpaka dakika hii bado natumia pixel, nimeshindwa kabisa kuhamia Samsung kwa sababu ya hii size
 
Sikuipima mkuu, nliexpect itakua kama Pixel 6a ninayotumia Sasa hivi
Kuna shida mahala katika maelezo. Samsung wametoka machaguo matatu, S24, S24+ na S24 Ultra

Unakurupukaje kuhisi 6a itafana na ULTRA? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Samsung wanazingua hapa tu sim zao ni kubwa sana hauwezi kuishika kwa mkono mmoja na kitumia vizur, wakirekebisha hapa basi hakuna kama Samsung.

Pixel nazipendea camera tu muonekano wake mdogo inashikika
Kuna machaguo matatu, Plain, Plus na Ultra. Chagua kutokana na size ya mkono wako na mapenzi yako.

La sivyo ni porojo tuu hizi
 
Nenda phonepoint harbor view pale uka exchange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…