Umechukua kwa sh ngapi hii?Wakuu msaada kidogo hapa,,, nimenunua hii Simu S6 Ila nilijaribu kuweka line yangu haisomi.. tatizo nini wadau nashindwa kuelewa kabisa..
Simu hii ni Used, nadhan zinajulikana yaan zimetumika kidogo..
Halafu juu ya screen Kuna hicho kiduara sijui ndo kinachosababisha Simu yangu isisome line..!!!Naambatanisha na picha ili muone Wakuu
duh hiz simu bado zipo?Wakuu msaada kidogo hapa,,, nimenunua hii Simu S6 Ila nilijaribu kuweka line yangu haisomi.. tatizo nini wadau nashindwa kuelewa kabisa..
Simu hii ni Used, nadhan zinajulikana yaan zimetumika kidogo..
Halafu juu ya screen Kuna hicho kiduara sijui ndo kinachosababisha Simu yangu isisome line..!!!Naambatanisha na picha ili muone Wakuu
Nenda setting>mobile data>ACCESS POINT NAME>Wakuu msaada kidogo hapa,,, nimenunua hii Simu S6 Ila nilijaribu kuweka line yangu haisomi.. tatizo nini wadau nashindwa kuelewa kabisa..
Simu hii ni Used, nadhan zinajulikana yaan zimetumika kidogo..
Halafu juu ya screen Kuna hicho kiduara sijui ndo kinachosababisha Simu yangu isisome line..!!!Naambatanisha na picha ili muone Wakuu
Simu yake haisomi network kabisa, Siyo internet.Nenda setting>mobile data>ACCESS POINT NAME>
NAME:mtandao wako huo kama ni voda,halotel n.k
APN;andika "internet"
ukimaliza apo save itakuwa tayali
Naelewa chief mwambie ajarib kwanza ikishindikana atapata msaada mwingineSimu yake haisomi network kabisa, Siyo internet.
we jamaa jaribu nilivyokuelekeza apo kwanzaKwahyo nafanyaje hapo..?
Nenda connection apo alaf mobile networkBorn1703
Nilienda kwenye setting ya hii Simu Kuna menu kama za setting, kwahyo nichague ipi ili nifike hyo option ya Access point.?, options ni hizi.
1. Quick settings
2. Connections
3. Device
4. Personal
5. System..
Haya nasubiria msaada wenu wakuu
Hpo kwenye connections Kuna.Nenda connection apo alaf mobile network
Hpo kwenye connections Kuna.
-wifi
- wifi calling
- Bluetooth
- Airplane mode
- Mobile hotspot and tethering
- Date usage
- NFC and payment
- More connection settings.
Hyo mobile network siioni..
Labda kwa hizo options nikimbilie wapi..?
Nunua smart kitochi weka line humo washa hotspot kisha hio simu unganisha wifi, utaipenda na ukitumia wifi chaji inakaa sanaHuu uzi unaweza kunisaidia.
Nina Samsung Tablet S6 Lite nili update Android kutoka Android 11 kwenda Android 12 ikagoma kusoma line (sim card), inaandika EMERGENCY CALLS ONLY.
Nikienda kwenye NETWORK OPERATORS sehemu ya SELECT AITOMATICALLY iko ON, nikitaka kuweka OFF ili nifanye MANUALLY haikubali.
Wataalam nisaidieni.
Cc. Chief-Mkwawa
Kwasasa naitumia kwa njia ya WiFi.
View attachment 2358140