Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Ni international model? Ama ilikuwa ni kifaa cha mtandao fulani kimetolewa lock tu? Inawezekana ikawa imejilock tena.Huu uzi unaweza kunisaidia.
Nina Samsung Tablet S6 Lite nili update Android kutoka Android 11 kwenda Android 12 ikagoma kusoma line (sim card), inaandika EMERGENCY CALLS ONLY.
Nikienda kwenye NETWORK OPERATORS sehemu ya SELECT AITOMATICALLY iko ON, nikitaka kuweka OFF ili nifanye MANUALLY haikubali.
Wataalam nisaidieni.
Cc. Chief-Mkwawa
Kwasasa naitumia kwa njia ya WiFi.
View attachment 2358140
Ila nikicheki picha yako kama mnara umepanda hapo juu, hata ukipiga 100 haikubali?