Samsung Galaxy S6 haitaki kusoma line(Mtandao)

Ni international model? Ama ilikuwa ni kifaa cha mtandao fulani kimetolewa lock tu? Inawezekana ikawa imejilock tena.

Ila nikicheki picha yako kama mnara umepanda hapo juu, hata ukipiga 100 haikubali?
 
Kama umeinunua hivyo hivyo ni vyema uirudishe mkuu, kuna possibilities nyingi hapo

1. Ikawa ni Demo phone, zile zinazokaa madukani kutest features za simu haziji na uwezo wa kuweka line.

2. Ikawa ni ya mtandao fulani imewekwa lock

3. Hardware za line ni mbovu etc.

Ungeanza na kucheki imei kama ipo.
 
Uwa inatokea kwa baadhi ya simu chief nakumbuka nmesaidia watu kama wawili hivi walinunua Samsung A13 ikawa haisupport Moja Halotel nyingine Airtel nikawasettia APN simu ikawa frsh.
 
Ni international model? Ama ilikuwa ni kifaa cha mtandao fulani kimetolewa lock tu? Inawezekana ikawa imejilock tena.

Ila nikicheki picha yako kama mnara umepanda hapo juu, hata ukipiga 100 haikubali?
Nitajuwaje kama imejilock?

Picha ya 2 ni baada ya kupiga 100

Mimi miezi 3 iliopita nilinunua Samsung 6 edge used,ilikuwa na warrant ya miezi 6,kilichotokea kinafanana na mleta mada,ukiingia kwenye settings hata lile neno la Access Point Name lilikuwa halipo,ilikuwa pia haipigi ussd codes,nikairudisha wakaifanyia factory reset ikakubali,simu sasa inafanyakazi ila isipokuwa na salio la internet hupati mtandao kabisa.Kwahiyo ikiisha salio unai restart mtandao unarudi ila haukai zaidi ya dkk 5,hapo unaiwahi kuingiza bundle na mtandao unakuwepo kama kawaida,sasa nadhani hizi S6 zina hiyo shida...
 
Refurbished hizo mkuu, s6 yenyewe haiwezi kuwa na tatizo kama hilo. Alternative ya kuzima na kuwasha simu ni kuweka Airplane mode na kutoa, jaribu hiyo inaweza kukusaidia.
 
Ndio Mkuu, nimebadili line za kampuni 2 tofauti bado haikubali.
Sipati idea ya tatizo mkuu, kuna app inaitwa Network cell info lite download uangalie status ya simu yako, haitasolve tatizo ila itakupa idea kama line inawasiliana na mtandao ama hakuna mawasiliano kabisa etc.
 
Inaonyesha line inawasiliana na mtandao ila nime compate na simu nyingine yenyewe kwenye SERVICE STATE inaandika OUT OF SERVICE.
 
Hio simu itakuwa ili-flashiwa ikapoteza network! Hii inatokea sana kwenye simu za Samsung!

Nenda kwa mtaalamu wa simu anaeelewa mambo sio wajanja wa mjini,atakui-installia Magisk tatizo lako litaisha!
 
ugonjwa wa samsung, hapo tafuta nyingine tuu
Hio simu itakuwa ili-flashiwa ikapoteza network! Hii inatokea sana kwenye simu za Samsung!

Nenda kwa mtaalamu wa simu anaeelewa mambo sio wajanja wa mjini,atakui-installia Magisk tatizo lako litaisha!
Embu mcheki huyu mwamba khalfan56

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Ilinisumbua sana.. nikarudi dukani KUBADILISHA, now wamebipa isiyo na tatizo ndo naitumia hapa🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…