SOLD: Samsung Galaxy s6 inauzwa 260000/-

SOLD: Samsung Galaxy s6 inauzwa 260000/-

Status
Not open for further replies.

Deva

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
1,238
Reaction score
1,812
Samsung Galaxy s6 inauzwa bei hiyo hapo juu.

Samsung galaxy s6 imeumbwa kwa body ya glass mbele na nyuma pembeni aluminium, sasa imedondoka na kuvunja kioo cha nyuma, kwa hiyo ninauza ili ninunue nyingine kwa sababu sipendi kupeleka vitu vyangu kwa fungi kufunguliwa, haina tatizo jingine lolote tofauti na hilo.

Ram 3gb
Storage 32 gb
Camera 16 Nyuma 5 Mp mbele

Nipo Mwanza

Mawasiliano 0754995752.

Picha zinakuja ninatafuta simu ya ku ipiga picha maana ndio hii hii ninayotumia kupost hapa.
 
Unajua wavulana wa mkoani huwa wanawadharau wanaume wa Dar....Apa ungesema unatokea Dar basi comment zingekuwa nyingi kuhusu hivyo viatu
 
Simu iko fresh...Lakini najua watu watakuja na kuanzisha ligi humu kuhusu hivyo viatu ulivyovaa....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu Nimecheka hadi Serengeti imenipalia.
 
Sijui kwa nini nimekufananisha na Dr shika.
 
Unajua wavulana wa mkoani huwa wanawadharau wanaume wa Dar....Apa ungesema unatokea Dar basi comment zingekuwa nyingi kuhusu hivyo viatu
Hahaa mkuu sisi wa huku mkoani hatujui aina ndala ni ndala.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom