Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kiboko mbavu zangu duuuhHapo chini naona upo level za kangi lugora..natania tu mkuu
Hiyo saa kwenye tangazo la biashara ndo hiyo kwenye avata yako, mbona kwenye avata umevaa minguo white tupu au unafanya kwa hospitali?Hahaa mkuu mbona saa yangu brand new kabisa kutoka kwa chinga.
Kwenye hiyo post ninatangaza simu mkuu sio kucha hahahaaa
mbona ww ndio umeanzisha ss [emoji23][emoji23][emoji23]Simu iko fresh...Lakini najua watu watakuja na kuanzisha ligi humu kuhusu hivyo viatu ulivyovaa....
Yaani wanajf bwana, mwanzo mwisho hakuna comment yenye kutia moyo....mbona ww ndio umeanzisha ss [emoji23][emoji23][emoji23]
ni kawaida, hata mleta tangazo na yy hayupo serious!Yaani wanajf bwana, mwanzo mwisho hakuna comment yenye kutia moyo....
Hahahaaaa kwahiyo wewe umeona nini?ni kawaida, hata mleta tangazo na yy hayupo serious!
Hakuwa na haja ya kutuonyesha yote hayo...kila mtu anaona anachotaka kuona.
mm nimeanza kuona ule mchanga pale chini alafu nikaona reflection ya mti na waya za umeme kwenye kioo cha simu![emoji3]Hahahaaaa kwahiyo wewe umeona nini?
Simu ishauzwa mkuu, maana nilitangaza simu tu sio vitu vingine na wanaohitaji wameshapatikana.ni kawaida, hata mleta tangazo na yy hayupo serious!
Hakuwa na haja ya kutuonyesha yote hayo...kila mtu anaona anachotaka kuona.