Phone4Sale Samsung galaxy s7 edge for sale

mr man city

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
467
Reaction score
319
IMG-20210113-WA0006.jpg
.
Imetumika na touch yake ndio inazingua. Mwenye simu anasikiliza ofa yoyote.

Pia ipo samsung s6 edge..imepasuka kioo.ni ya kuweka display mpya.hiyonaiuza 50k.
Location MWANZA
IMG-20210113-WA0005.jpg
IMG-20210113-WA0011.jpg
IMG-20210113-WA0010.jpg
IMG20210114083210.jpg
IMG20210114083215.jpg
 
Bei ya kununua kioo cha Samsung unaweza kununua IPhone 12
 
Soma kwanza maelezo ya mleta mada.
Ili baadae msije mkashikana mashati na kupigana ngumi.
Nimesoma mkuu na nimeelewa sana cm ipo mwanza ina tatizo la touch na mm nipo dar mm naitaka kama spare nina simu model kama iyo ina tatizo la circuit yani kamera haipigi picha so nitaamishia kioo tu kutoka ktk cm yangu kuweka ktk circuit yake au motherboard au mashine ndo mana nikauliza sio ya wizi mm shida yangu ninunue kama spare kwa ajili ha cm yangu.
 
Hapo sawa.
Nimesoma mkuu na nimeelewa sana cm ipo mwanza ina tatizo la touch na mm nipo dar mm naitaka kama spare nina simu model kama iyo ina tatizo la circuit yani kamera haipigi picha so nitaamishia kioo tu kutoka ktk cm yangu kuweka ktk circuit yake au motherboard au mashine ndo mana nikauliza sio ya wizi mm shida yangu ninunue kama spare kwa ajili ha cm yangu.
 
Bei ya kununua kioo cha Samsung unaweza kununua IPhone 12
Noma sana ..kma hiyo s6 ipo ndani na boxi lake...yani simu ni laki 3 alafu display laki2..tena hapo walianza laki 2na 50.
Samsung bhana
 
Hapo ndio mtihani sasa...huna ndugu huku au mtu unayejuana nar vizuri?
Kwa kwel sina mm hofu yangu je ni salama kwa matumizi wasije nitrack mara vuup murder case iyo kama masihara jamaa sijui nampataje ingekuwa hakika ni ya halali wangesafirisha tu ata kwa basi za mwanza.
 
Ni ya halali mkuu..ni kwamba mtu amenunua simu mpya baada ya hiyo kumzingua.
 
Back
Top Bottom