Samsung hii kiboko

Samsung hii kiboko

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
1_20241027_112305_0000.png


Tukiwa tunasubiri ujio wa Toleo jipya la Samsung aina ya A57 5G ambao inaweza kupelekwa sokoni desemba 2024 mpaka January 2025.

Hii itakua A series ya kwanza kuleta ushindani dhidi ya "iphone series" kwani mfumo wake muundo na Uwezo wake sio poa😀 bhana.

👉 Kioo chake cha kuvutia kikiwa na inch 6.73 QHD DISPLAY ikiwa na refreshing rate 120Hz ukigusa tu imoooo.

👉 Kwenye kamera sasa imekuja ikiwa na 200mp ikiwa na sensor ya Ai yenye 50Mp ultra wide lens na 13mp depth.

Itakayo kusaidia kupiga picha kwa mfumo wa DSLR Kama photography za cannon ni balaa aisee bila kusahau Uwezo wa kutumia intaneti kwa kasi ya ajabu 5G na kamera yenye kuchukua picha nzuri kwenye kiza kinene.

👉 Uwezo wa kuchukua video zenye mfumo wa 4k record skrini huku selfie camera ikiwa na 50mp ikiwa superior portrait yani picha za kimataifa.

👉 Inakuja ikiwa na Ram 12Gb pamoja na storage 128Gb, 256Gb na 512Gb huku ukiwa na Uwezo wa kuongeza 24Gb Bure sio poa🥳.

👉 Betri sasa usiseme A57 5G Inakuja ikiwa na 6000mah betri yenye watt 80W ikiwa na fast charging unaweza chaji simu yako ndani ya dakika 50 toka 0% mpaka 100%.

2_20241027_112305_0001.png


👉 Gharama yake inaweza kuanzia 1milioni mpaka 1.13milion za kitanzania.

Je unafikiri Samsung Galaxy A57 5G inaweza kuleta ushindani na simu za iphone tuachie maoni yako ?
#bongotech255
 

Attachments

  • 1_20241027_112305_0000.png
    1_20241027_112305_0000.png
    610.3 KB · Views: 12
Una uhakika siku zote Samsung haijawahi kuleta ushindani kwa Iphone?

Anyway hujaweka bei tarajiwa ya hilo toleo
 
Back
Top Bottom