Car4Sale SAMSUNG J7 prime

Faka25

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
1,738
Reaction score
1,134
Habari wanaJf karibu ujipatie Simu za Samsung j7 prime kutoka china Kwa bei poa kabisa.

-Bei ya jumla 130,000
-Bei ya lejaleja140,000

Napatikana Mwanza Pasiansi
Mawasiliano namba 0672883431

Karibu tujenge uchumi wa nchi yetu pendwa
TANZANIA.

Haa Simu Za Muda Ila Nzuri
Nina Samsung Galaxy J5 Prime GB 16
Nilinunua Kenya, Nikatumia Nikaichoka Nikaiweka Kabatini
Juzi Nimebadili Battery Nikampa Student Atumie Inapiga Kazi Tu Vema
Chuma Hicho Na Sasa Kinatema Che Che
 
Hata mimi niko na hiyo chuma, yaani imekuwa kama back up kwa kila simu ninayonunua na kuharibika.
 
Haa Simu Za Muda Ila Nzuri
Nina Samsung Galaxy J5 Prime GB 16
Nilinunua Kenya, Nikatumia Nikaichoka Nikaiweka Kabatini
Juzi Nimebadili Battery Nikampa Student Atumie Inapiga Kazi Tu Vema
Chuma Hicho Na Sasa Kinatema Che Che

Ahsante sana mkuu kwa maneno mazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…