Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐Ÿ‘‹.

Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐Ÿค–๐Ÿ“ฑ

Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo mfumo kutaku na mambo mengi tu mojawapo:

โœ… ๐Ÿค– AI yenye uwezo mkubwa zaidi: kusaidia kufanya kazi mbalimbali kwa kutumia akili bandia.
โœ… ๐Ÿ“ฑ Muunganiko bora wa vifaa: kuunganisha simu, smartwatch na vifaa vingine vya Samsung.
โœ… โšกkurahisisha baadhi ya kazi za kila siku kupitia huo mfumo wa Galaxy Os.

Lakini Bado hakuna uthibitisho rasmi kwamba Samsung wataamua kuachana na Android au Mfumo wake wa One UI na Kuanza kutumia mfumo mpya wa Galaxy Os.

Unaonaje hii Vita Galaxy Os Vs Android ๐Ÿ˜€ au bado Samsung itaendelea kumtegemea Google tuachie maoni yako โœ๏ธ.

#bongotech255
 
Attachments

  • ef70234b850fb735fe59a8c9943ad7c3.jpg
    60.7 KB · Views: 5

  • 6adb211465554cd99d8fbcb79f263309.jpg
    23.7 KB · Views: 4

Hajaanza leo hamu yake ya kuwa na OS yake.Aliwahi kuwa na Bada OS akatoa simu kadhaa kama series ya Samsung Wave baadae akahamia Android na kuanza series ya Galaxy . Kitu kigumu kwenye bishra ya simu ni kuwa na successful OS kitu ambacho mkampuni mengi yameshindwa. Nokia aling'ang'ana na Symbian yake mwishowe alifutika kabisa sokoni.
Samsung Wave ya Bada OS
 
Attachments

  • bada.jpg
    14 KB · Views: 5
Hii itakua ni skin juu ya android, kutengeneza mfumo mpya sio mchezo + uanze kuconvince developer watengeneze apps kwa ajili ya OS yako
 
Kwa nini unaita vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ