Samsung S10 vs iPhone 7+

Samsung S10 vs iPhone 7+

Samsung Galaxy S10 Plus Battery test

Kuperuzi mitandaoni- masaa 7 na dakika 7
Kuangalia videos - Masaa 12 na dakika 1
Gaming - Masaa 3 na dakika 51
Standby - Masaa 80
Warranty ya battery huwa ni 3 years na hiyo S10 plus ina miaka mitatu tegemea kukutana na changamoto ya kuishiwa na chaji haraka
 
S10,10+ na 10 5g hazina kabisa changamoto ya kuishiwa chaji mapema ni simu ambazo kwa kweli nimezifurahia sana. Kumbuka nilisema hapo juu kuwa s20 + ilinitesA sana upande wa chaji nikaamua kuiuza bei hasara
 
Shemeji yangu alinunua iPhone 13 pro max mwaka 2008 mpaka leo bado inatunza chaji masaa 35 akiwa online
 
Samsung yangu J5 prime nimeanza kukosa spea zake ila simu bado nzima kabisa haina hata mchubuko
 
Kuna watu wanapiga mikamba sio poa kabisa
Hebu tuoneane huruma
 
Back
Top Bottom