Gelevaheke
Member
- Apr 18, 2013
- 77
- 5
Mwenye hiyo simu au duka naomba nielekeze na bei
Mwenye hiyo simu au duka naomba nielekeze na bei
Angalizo. Kuna clone 1st class hadi 3rd class. So jiangalie mkuu.
tunazijuaje hizi classes maana kuna mtu kauziwa S4 mini clone iko recognized as nokia
ile internal 16gb i 1gb yaan fulll kuzimika na kuzingua
msaada kaka
Clone ziko za aina nyingi sana, unaweza kupata clone mpaka ya elf40!!!!!!!! kuwa makini Mkuu.
tunazijuaje hizi classes maana kuna mtu kauziwa S4 mini clone iko recognized as nokia
ile internal 16gb i 1gb yaan fulll kuzimika na kuzingua
msaada kaka
Tunaomba kufahamishwa wakubwa ndio lengo la kuanzisha uzi huu naogopa kwenda kichwa kichwa wakuu
Ahaha acha nicheke kaka... kitu ukicheki IMEI wanasema hiyo ni Nokia. :faint2::shocked: :smile-big: :A S 39:
IMEI ya nokia ikoje?
maana huyu mtu alitumiwa configuration za internet na ilikuwa recognized kama NOKIA
Kunakuaga na IMEI Cheker internet. Kwamba ukiandika IMEI yako inakuambia simu yako ni aina flani na ina specs fulani, iwapo tu ni genuine.
Kama tulivyosema ziko nyingi, na kuzitambua utofauti kwa kuziangalia sio easy ki hivyo. Ila kutoka china, clone ya S4 zinazoongoza ni:
1: "NO.1 S6"
ina specs hizi: Android OS 4.2 Jelly Bean, 1.5Ghz from MediaTek MTK6589T quad-core processor, 5 inches 720P resolution IPS screen, Camera ina 13MP na mbele ina 3MP, battery 2300mAh.
Hii ndio clone ilio karibu na S4 kuliko zote.
2. "I9500s"
3. "N9500"
Hizi mbili nazo ziko njema. Huwezi tofautisha na Original kwa kuziangalia hivi hivi. na ata perfomance yake iko njema. Sema bei exactly, ila itakua 380-400,000Tsh siwezi guarantee maana itategemeana.
Line mbili kama kawaida.
Kujua hizo model unafanya hivi: Menu>>Setting>>About Phone>>Model Number
Mwenye hiyo simu au duka naomba nielekeze na bei
nina clone s4 mpya za 2gb ram na internal 16gb zitapatikana kuanzia kesho. full box
bei ni laki 3 kamili fair trade.
kwa anaetaka acha order yako kwa private message zikifika nakutafuta au nitext whatsapp 0715696962
nina clone s4 mpya za 2gb ram na internal 16gb zitapatikana kuanzia kesho. Full box
bei ni laki 3 kamili fair trade.
Kwa anaetaka acha order yako kwa private message zikifika nakutafuta au nitext whatsapp 0715696962
s4 mini vipi,unazo???nina clone s4 mpya za 2gb ram na internal 16gb zitapatikana kuanzia kesho. Full box
bei ni laki 3 kamili fair trade.
Kwa anaetaka acha order yako kwa private message zikifika nakutafuta au nitext whatsapp 0715696962