Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa ni kuwa na proper documents ya kitu chochote whether kuna panyaroad or not.Simu za mkononi nazipenda sana,lkn shida kipindi km hiki, Panya road waliiba simu nyingi sana,unaweza kuanza tu kuitumia kumbe ni moja wapo,huo mziki wake mpaka wagundue ilikuwa sio ya wizi kilo 5 zimekutoka...