Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
1. Ngumu kupata updatesHapa nimekusoma sawasawa, zinakuwa na matatizo gani simu za aina hiyo!
asante sana, kuna jamaa alinipanga kwamba asilimia kubwa wengi huchukulia simu zao China ila yeye huchukulia Vietnam ambazo ni bora zaidi na anadai ni mpya kabisa.. Hii logic unaionajeIla refurb zinaweza kuwa pasua kichwa hujui kwanini ilirudishwa na kutengenezwa tena. Simu nyengine hazitengenezeki.
[emoji38][emoji38][emoji38]nimecheka kama mazuri.Niliwahi nunua Note 5 yenye model number ya HongKong.. ilikuwa inashika 4G dar pekee.. maeneno mengine yote ni E baada ya kuflash ikaacha na kusoma line kabisa!
Logic hapo ni Location tu ya refurb. Sijajua vietnam soko lipoje ( pengine hata jamaa yako muongo) ila kwa china refurb zao nyingi ni za Korea na Usa.asante sana, kuna jamaa alinipanga kwamba asilimia kubwa wengi huchukulia simu zao China ila yeye huchukulia Vietnam ambazo ni bora zaidi na anadai ni mpya kabisa.. Hii logic unaionaje
Hufai kua daktariHamna simu hapo, tupa tu hiyo
Ina maana 3g yake ni ile Cdma ya china, simu za mitandao isiyo ya Gsm hufanya hivi, hata za Verizon na sprint Usa zinafanya pamoja na T-mobile.Niliwahi nunua Note 5 yenye model number ya HongKong.. ilikuwa inashika 4G dar pekee.. maeneno mengine yote ni E baada ya kuflash ikaacha na kusoma line kabisa!
asante sana masta nimekusoma!Logic hapo ni Location tu ya refurb. Sijajua vietnam soko lipoje ( pengine hata jamaa yako muongo) ila kwa china refurb zao nyingi ni za Korea na Usa.
Nchi za Sea (south east Asia) nimeangalia Indo, Malyasia, philipines etc hawa refurb zao ni docomo (japan).
Ila mwisho wa siku refurb ni refurb, una beti tu, unaweza pata simu nzuri ama mbaya.
samsung za uhakika ni za kuchukua samsung store basi.. hasa hizi flagships kuzipata ujipange kweli!Ina maana 3g yake ni ile Cdma ya china, simu za mitandao isiyo ya Gsm hufanya hivi, hata za Verizon na sprint Usa zinafanya pamoja na T-mobile.
Niliwahi nunua Note 5 yenye model number ya HongKong.. ilikuwa inashika 4G dar pekee.. maeneno mengine yote ni E baada ya kuflash ikaacha na kusoma line kabisa!
uliifanyaje?Nina NOTE 4 ime stuck kwenye boot loop, nimeipisha kwenye odin still haija rekebishika
Hii iliwahi nikuta lkn tatizo lilikuwa file nalotumia sio lenyewe, tafuta file lingine itakubali.Nina NOTE 4 ime stuck kwenye boot loop, nimeipisha kwenye odin still haija rekebishika
Kwamba camera yake, Display, perfomance etc ni sawa na Tecno? Tecno ipi hio?Natumia A50 toka mwaka jana haina tofauti na tecno. Sema brand tu ndo nimenunua japo kukwepa dharau
Duuh ulikwepa dharau ila umeidharau A50 kuilinganisha na Spark6Natumia A50 toka mwaka jana haina tofauti na tecno. Sema brand tu ndo nimenunua japo kukwepa dharau
Natumia A50 toka mwaka jana haina tofauti na tecno. Sema brand tu ndo nimenunua japo kukwepa dharau
Duuh ulikwepa dharau ila umeidharau A50 kuilinganisha na Spark6View attachment 1633320
Aliuziwa copy ya copy ya copy ya A50,huyu sijui kajichanganya kwa vijana wa agrey pale,wakampa za kichina.