Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Kuna ripoti ya watu mbalimbali kulalamika juu ya ubovu wa pete zilizopo kwenye kamera ya Samsung Galaxy S25 Ultra ambapo zinaanguka zenyewe hazina uimara nini shida.!!
Imepita miezi kadhaa toka Samsung waweze kutambulisha Simu mpya aina ya Samsung Galaxy lakini baadhi ya Watumiaji mbalimbali wamekua wakilalamika pete za kamera kwenye Galaxy s25 ultra zinakatika na kuanguka zenyewe bila simu kupata uharibifu wowote nje.
Je umekumbana na changamoto hii kwenye simu yako ya Samsung Galaxy s25 ultra ? Tuachie maoni yako simu yako ina changamoto gani ya Samsu
ng??