Kuna ripoti ya watu mbalimbali kulalamika juu ya ubovu wa pete zilizopo kwenye kamera ya Samsung Galaxy S25 Ultra ambapo zinaanguka zenyewe hazina uimara nini shida.!!
Imepita miezi kadhaa toka Samsung waweze kutambulisha Simu mpya aina ya Samsung Galaxy lakini baadhi ya Watumiaji mbalimbali wamekua wakilalamika pete za kamera kwenye Galaxy s25 ultra zinakatika na kuanguka zenyewe bila simu kupata uharibifu wowote nje.
Je umekumbana na changamoto hii kwenye simu yako ya Samsung Galaxy s25 ultra ? Tuachie maoni yako simu yako ina changamoto gani ya Samsu
ng??
Wanangu niece jambo toka nianze kutumia simu sijawahi ona simu bora na nzuri kwa kila namna zaidi ya Google pixel za matoleo ya 4 kwenda juu. Samsung Jina kubwa but simu zao ni mbovu vibaya