The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Zote kali ilawaka huu Note haikutolewa.Hivi kati ya note series na S series zipi nzuri?
Angalia simu zinazostahili kupata hii update.Vipi kwa Samsung nyingine
Zote nzuri tofauti ni features ila note ilikuwa inapendelewa kidogo sema now note hazitoki imebaki s series ikiwa na features zote za spen tegemea kwenye s22 ultraHivi kati ya note series na S series zipi nzuri?
Hiyo si zani kama itapewa update maana tecno utaratibu wa update hawana sana.Duh sisi wenye tecno phantom sijui hata update itakuja lini ndio kwanza nipo kwenye android 6.0[emoji205]
Sawa , nimona iko listed hapoAngalia simu zinazostahili kupata hii update.
Samsung One UI 4.0/4.1 (Android 12): All the features, eligible phones, and more
Here's everything you need to know about Samsung's Android 12 UI.www.androidcentral.com
Ok kwa lugha rahisi haku a flagship ya note series mwaka huu...Zote kali ilawaka huu Note haikutolewa.
Wameingiza zile Nite features kwenye S series hivyo Note imepigwa chini kabisa.
Sio kwa mwaka huu, hiyo ni jumla mkuu. Note series samsung imeachana nazo kabisa.Ok kwa lugha rahisi haku a flagship ya note series mwaka huu...
Note ni kali zaidi. Kwanza ni kubwa kiuwezo na hata kimuonekano. Ila uwe na gari sasa au uwe unatumia uber kwa usalama unapoibeba maana vibaka hawatakuacha salamaHivi kati ya note series na S series zipi nzuri?
Ila nimependa Samsung simu kama s10 inapata updates za os 4, zilitoka na Android 9, zikapata update ya Android 10, 11 na sasa Android 12 na usishangae hata Android 13 zikapata mwakani.
Ukitaka kufurahia simu nunua simu ambayo inaweza kupata software updates angalau 3 ama 4 hivi.
umenifurahisha, mine will be updated January 2022huwa tunawaambia humu kuwa brand za simu ni 2 tu yaani samsung& iphone12&13 tu[emoji23][emoji23] hayo mengine ni mamikebe ya kutunzia laini[emoji23][emoji23][emoji23]
huwa tunawaambia humu kuwa brand za simu ni 2 tu yaani samsung& iphone12&13 tu[emoji23][emoji23] hayo mengine ni mamikebe ya kutunzia laini[emoji23][emoji23][emoji23]
Apple ni mzuri kwa hilo. Simu inakula update mpaka inataka kutapika.Ila nimependa Samsung simu kama s10 inapata updates za os 4, zilitoka na Android 9, zikapata update ya Android 10, 11 na sasa Android 12 na usishangae hata Android 13 zikapata mwakani.
Ukitaka kufurahia simu nunua simu ambayo inaweza kupata software updates angalau 3 ama 4 hivi.
Sio kwa mwaka huu, hiyo ni jumla mkuu. Note series samsung imeachana nazo kabisa.
Note series iliunganishwa kwa S21 ultra mkuu.Ok kwa lugha rahisi haku a flagship ya note series mwaka huu...