Samsung yaachia Operating system update Andorid 12 kwa simu S21 Ultra

huwa tunawaambia humu kuwa brand za simu ni 2 tu yaani samsung& iphone12&13 tu[emoji23][emoji23] hayo mengine ni mamikebe ya kutunzia laini[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana na Hawa watoto wanaookota ubishi wa vijiweni na Kuja nao majukwaa ya wakubwa. Hawa ndo wale wanajua kila mwanaume anayefanya kazi hosp ni dokta na mwanamke ni nesi!
 
Achana na Hawa watoto wanaookota ubishi wa vijiweni na Kuja nao majukwaa ya wakubwa. Hawa ndo wale wanajua kila mwanaume anayefanya kazi hosp ni dokta na mwanamke ni nesi!

Eeh wadau wa stereotypes
 
Achana na Hawa watoto wanaookota ubishi wa vijiweni na Kuja nao majukwaa ya wakubwa. Hawa ndo wale wanajua kila mwanaume anayefanya kazi hosp ni dokta na mwanamke ni nesi!

hapana jamani,tuwe wakweli tu[emoji1787][emoji1787]

umesoma hints za 15 updates,
wanasema ni kuondoa bugs kwa iphone 12 na 13[emoji1787][emoji1787]yaani nyingine wameshazitoa kwenye bajeti ya mboga.
jokes msiniue,
kwa iphone hata kama una 7 saa hizi wala hujapoteza.nina 6s hapa nakula raha tu.
 
google pixel sisi tangu mwezi wa 10 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwamba una update without MB/GB za akina tigo makato?
 
Nani anaweza kunisaidia hii refurb ya SM-G986U (Samsung Galaxy S20 plus 5G)ipate update nimeinunua ikiwa imeganda na android 10 na inagoma kuupdate hadi security patches wataalam nisaidieni.....angalia picha za chini hapa
 
Naona leo Samsung Note 20 5G imenipa option ya update Android 12, ngoja nidownload.

Nina Note 10+ sioni dalili ya kupata Android 12 hii ni ile kwenye yale maduka ya Kijitonyama, ilikuwa na Andoid 10 nadhani mwezi uliopita ikabidi nii-update kwenda Android 11 kupitia website ya Sam. Ila kwa leo ikijaribu ina search muda mrefu, labda nayo itakuja kukubali ngoja niendelee kusubiria.

Hatumaye nimefanikwa kufanya manual instalkation ya android 12 by odin asanteni sana kwa ambao mlionyesha njia inbox na kushare link za how to ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…