Samsung yaipiku Apple kwa mauzo ya simu robo ya kwanza ya mwaka

Samsung yaipiku Apple kwa mauzo ya simu robo ya kwanza ya mwaka

Alaa nilikuwa sijui.
Sasa kwa nini huku bei iko juu hivyo..!? Hakuna Hasara.. Au mitandao ya simu inapeleka gawio. Kila baada ya muda fulani..!

Mkuu hajaelewa mfumo wa makupni inavyouza simu sio kama anavyofkiria,
 
Niko na LG sina habari na iphone wala samsung

Napenda kuwa unique

Nikikaa na washkaji unajikuta uko peke yakoo[emoji12]
 
Back
Top Bottom