Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimwambia wap!Mbona Lowasa alisema akishindwa urais ataenda kuchunga ng'ombe zake. Alikwenda?
Sijui.Alimwambia wap!
HahahaKilikuwa ni kiapo cha mlevi tu, km kawaida hawaachi kujitetea, TB Joshua naye kaja na yake baada ya kutabiti isivyo!!!
We nae umekula maharage ya wap???!!!Tunaongelea wasanii we unamleta LowasaMbona Lowasa alisema akishindwa urais ataenda kuchunga ng'ombe zake. Alikwenda?
Lowasa ni msanii, tena aliyebobea.We nae umekula maharage ya wap???!!!Tunaongelea wasanii we unamleta Lowasa
Hiyo "motherfucker" ni kama kiunganishi cha maneno kwao hata wazee wanatumia
Satanic at worksHahaha
Trump nime mnyooshea mikono
Walimpinga
Ukoo wote Bush
Ukoo wote wa Clintom
Wasanii
Rais Obama
Vyombo vya habaro karubi vyote
TB Joshua
Jamaa bado kashinda huyu mti siyo wa spot spot
Teh teh teh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ah kibokoAhadi ni deni – muigizaji mkongwe wa Marekani, Samuel L. Jackson ameonekana kuipinga ahadi yake aliyowahi kuitoa kuwa atahamia Afrika Kusini endapo Donald Trump atateuliwa kuwa Rais wa nchi hiyo.
Kupitia mitandao yake ya kijamii, Jackson aliandika, “If that motherf- -ker becomes president, I will move my black ass to South Africa.”
Hatimaye muigizaji huyo amekuja na ujumbe mpya kupitia mtandao wake wa Twitter, ameandika, “Why y’all so anxious for me to leave?! I pay More Taxes than All U Trumpafukkaz… Him too!!.”
Trump alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani Jumatano ya Novemba 9, kwa kushinda majimbo ya uchaguzi 276 huku Clinton akishinda 218.
![]()