Samuel Jackson agoma kuhama Marekani baada ya Donald Trump kushinda urais

I love USA.. Unamtukana Trump na unadunda mtaani
 
Kilikuwa ni kiapo cha mlevi tu, km kawaida hawaachi kujitetea, TB Joshua naye kaja na yake baada ya kutabiti isivyo!!!
 
Kilikuwa ni kiapo cha mlevi tu, km kawaida hawaachi kujitetea, TB Joshua naye kaja na yake baada ya kutabiti isivyo!!!
Hahaha
Trump nime mnyooshea mikono
Walimpinga
Ukoo wote Bush
Ukoo wote wa Clintom
Wasanii
Rais Obama
Vyombo vya habaro karubi vyote
TB Joshua

Jamaa bado kashinda huyu mti siyo wa spot spot
 
Je, mnajua Robert Mugabe amesema nini juu ya Trump?

Imefika wakati Mzungu akimtukana na kumdhalilisha Mwafrika imekuwa kama kawaida.
Hili sio suala la kuzoea au kuona ni kawaida. Ni mtu mtumwa tuu ndio atazoea "kunyanyaswa".
Damu na jasho ziko tayari dunia nzima kupinga Ubaguzi na Unyanyaswaji. Tumeona harakati hizi enzi za Ukoloni. Na zitarudi tuu kama sio kizazi hiki, kizazi kinachokuja.
Haki za Watu weusi, zitarudi tuu.
Watu weusi, Ni viumbe ambavyo Mungu anavipenda.
 
Ahahahahaaaa....wengine tulijua tu.

Hii si mara ya kwanza hao watu maarufu kusema watahama Marekani kisa fulani akichauliwa kuwa rais.

Hata 2004 wapo waliodai kuwa wataihama Marekani endapo George W. angechaguliwa tena kuwa rais wa Marekani lakini baada ya uchaguzi hakuna aliyehama.

Huwa wanabipu tu hao.

Nani ahame Marekani wakati Marekani ndo taifa bora kabisa kuweza kutokea katika historia ya uhai?
 
dah kwel marekani kuna uhuru hadi raha yani izo mitus zimeandikwa kumuhusu rais na kawaida tu... ingekua kwa anko magu sahv mtu angekuwa segerea na sare kapewa.....
 
Trumpafukkaz [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha
Trump nime mnyooshea mikono
Walimpinga
Ukoo wote Bush
Ukoo wote wa Clintom
Wasanii
Rais Obama
Vyombo vya habaro karubi vyote
TB Joshua

Jamaa bado kashinda huyu mti siyo wa spot spot
Satanic at works
 
Teh teh teh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ah kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…