Samuel Misago(EA Radio/TV) vs B-Dozen(Cloudz FM) nani zaidi?

kwa watangazaji radio wa vipindi vya music vya mchana hamna wa kumfiki B12 kwa vyovyote kwenye issue ya utangazaji labda yule jamaa wa Kiss fm D7

Dulla ana copy na ku paste sauti ya Adam

halafu yule mtu wa kuitwa Dee Saba ni mkali kinoma,sema ukitangaza kwenye redio za mkoa ni ngumu sana ku-run town
 
dah ila kiukweli bwana Ambua anamcopy sana Mchomvu
 
hahahahhahah!!!mpaka sasa naona hajajitokeza anayewajua B12 na MISAGO upande wa pili wa shilingi....wanafanana sana si utangazaji tu hata katika....................................wapi david cameron!

upo out of qn..
 
unakithibitisho chochote kwenye hiyo habari lakin?
 
Mkali ni anko sam wa rfa,mwingne ni mapembe baby wa times fm basi
 
hahahahhahah!!!mpaka sasa naona hajajitokeza anayewajua B12 na MISAGO upande wa pili wa shilingi....wanafanana sana si utangazaji tu hata katika....................................wapi david cameron!

Inasikitisha hao mabwabwa wawili Sam na B 12 wanatoka Arusha bila kumsahau huyo mabangi Adam Mchomvu.. Arusha nayo siku hizi inazalisha m.a.s.h.o.g.a kudadadaaeeeeki
 
Inasikitisha hao mabwabwa wawili Sam na B 12 wanatoka Arusha bila kumsahau huyo mabangi Adam Mchomvu.. Arusha nayo siku hizi inazalisha m.a.s.h.o.g.a kudadadaaeeeeki

na wewe c wa Arusha?basi nawe shoga
 
Mzee mbona unaumia kusikia hawa madogo wanapumuliwa au ni wewe kati ya hao?unataka uthibitisho?sam na hamis mandi watoto wa watu kitambo

hahah, oky isiwe ishu coz sio lengo la post yangu,otherwise fungua new thread inayohusu mapunga.you heard..?!
 
muuza sura hii avatar yako tu inaonyesha we ni mkufunzu wa mafunzo kwa vitendo kwenye hiyo tasnia ya u Cameroon...mtoto ngozi rangi ya nazi kavu :eyeroll1:
 
muuza sura hii avatar yako tu inaonyesha we ni mkufunzu wa mafunzo kwa vitendo kwenye hiyo tasnia ya u Cameroon...mtoto ngozi rangi ya nazi kavu :eyeroll1:

nimeipenda gafla...rangi ya nazi kavu...Samahani Mkare nimeshindwa kuvumiliahii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…