Samuel Misago(EA Radio/TV) vs B-Dozen(Cloudz FM) nani zaidi?

Samuel Misago(EA Radio/TV) vs B-Dozen(Cloudz FM) nani zaidi?

Misago anaongea kiingereza fasaha kuliko Hamisi Mandi...

Kingereza cha b12 wal do wal do wal does you know what it is,we in the building hapo ukimwambia aendelee kdg utaona huruma...Niliskia siku moja Mchomvu anaripot hbr ya kifo kisha anasema we wish him to rest in peace,alafu dozen kwa mbaaali anachombeza oh yeah ....dah yani niliskia noma utafikiri nimeharibu mimi
 
alkiuwa mtangazaji mmoja wa Ebony Iringa anaitwa Edo huyu jamaasijui siku hizi kaishia wapi,ila ni mkali balaa halfu haigi swaga za mtu

Aisee namsoma huyo jamaa, nilikuwa namkubali kinoma, back to the topic, nadhani B-12 na Mchomvu wako juu.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
vipnd vya mchana sisikilizi zimaaaaa NASH MC
 
"watangazaji kuigana ni mambo ya kizamani"... Lord Eyes
 
Misago anaongea kiingereza fasaha kuliko Hamisi Mandi...

Hahaha Mandi na inglish ya kayumba ya Arusha sec plus inglish ya Ayo ya Akheri sec Meru... teh kweli clouds ni talent tu but profesheno hakuna pale.
 
Kingereza cha b12 wal do wal do wal does you know what it is,we in the building hapo ukimwambia aendelee kdg utaona huruma...Niliskia siku moja Mchomvu anaripot hbr ya kifo kisha anasema we wish him to rest in peace,alafu dozen kwa mbaaali anachombeza oh yeah ....dah yani niliskia noma utafikiri nimeharibu mimi

Teh teh pale mjengoni sana sana walikuwa wanamtegemea Ncha kali,Zamaradi na Vanessa wakija wasanii wa nje hao ndio wanapewa jukumu la interview. Hawa wengine hamna kitu.
 
bahat mbaya betri za redio ziliisha tukiwa tumeweka clouds tangu krismas so sauti zngne nmezisahau naickiaga ya bdozen oyeeee....
 
Back
Top Bottom