Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
- Thread starter
-
- #41
muuza sura hii avatar yako tu inaonyesha we ni mkufunzu wa mafunzo kwa vitendo kwenye hiyo tasnia ya u Cameroon...mtoto ngozi rangi ya nazi kavu :eyeroll1:
nimeipenda gafla...rangi ya nazi kavu...Samahani Mkare nimeshindwa kuvumiliahii...
Mie nawakubali wote hao!
o.m.g ckujua kama humu ndan kunamabasha kiasi hiki.na wewe umemtaman muuza sura?he hee..
Hahahahahahaha watu wanamaneno,Mxmuuza sura hii avatar yako tu inaonyesha we ni mkufunzu wa mafunzo kwa vitendo kwenye hiyo tasnia ya u Cameroon...mtoto ngozi rangi ya nazi kavu :eyeroll1:
Mkare sio kiivo bana...nimeipenda terminology "rangi ya nazi kavu"...not the person bana!...mm kisamvu cha kopo sili kabsaaa!
sam anaxposure sana.....kama watoto wengi wa eatv yani shule ipo kimtindo tofauti na watoto wa clouds wengi wao wamechukuliwa tu hawana elim ila ni waongeaji wazuri
b12 ni shoga since i hate them shogaz am not his/her fan.
adam yupo juu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuliko huyo dogo mjukuu....mjukuu inabidi apate xperiance zaidi ili amfikie mchomvu.
Aaa, kumbe mtoto c riziki yule lo!
zaidi ni B12 na Baba jonii...weye muuza sura mbona waongea kwa uhakika hivyo wakati tunajua mjini mashoga vidole wako wengi sana
mwanzisha mada wenzako wameshaanza form five wewe wafanya nini nyumbani au umekuwa mwanafunzi wa kutwa??
Sam na huyo Dullah hawaingii hata kidogo kwa yale majembe ya Clouds fm (B 12 na Adam Mchomvu).Kiukweli,Presenters wengi na Redio zao wanaiga kila kitu toka Clouds fm.Hata hiyo Redio yao ya Capital fm ime-copy na ku-paste vipindi toka Clouds fm..