Darius Tanz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 461
- 137
alkiuwa mtangazaji mmoja wa Ebony Iringa anaitwa Edo huyu jamaasijui siku hizi kaishia wapi,ila ni mkali balaa halfu haigi swaga za mtu
Teh teh pale mjengoni sana sana walikuwa wanamtegemea Ncha kali,Zamaradi na Vanessa wakija wasanii wa nje hao ndio wanapewa jukumu la interview. Hawa wengine hamna kitu.
Kweli mkuu kuna siku Adam na B12 walikimbia studio kuna msaani wa nje alikuja kimombo kikawapiga chenga hadi akaja Nchakalih
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh, samahani sikujuwa kama njia hii ningetokea hapa Toto Junction.......kwaheri!
missago namkubali sana ana maswali sana tofaut na pung..[/QUOTE
missago namkubali sana ana maswali sana tofaut na pung..[/QUOTE hizi tetesi kuhusu huyu jamaa nimeona ni nyingi humu kuna ukweli wowote kwa anaefahamu afunguke hapa
Punga..!!!?missago namkubali sana ana maswali sana tofaut na pung..
Hapo tuu ndo huwa nashangaa, naona pages zinazidi kujaa na kuongezeka lakini kama ni mtihani wengi wenu kama cyo wte mmeshafeli kwa sababu hao wte wana-run shows tofauti wakati B-DOZEN Na MCHUVU wakiwa kwa Radio den SAM MISAGO Na dula wanafanya tv shows bt Dula anackikaga kwa Radio sometyms so ni ngumu kuwalinganisha