kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Mmoja wa akina nani?
Kina sita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmoja wa akina nani?
Kina sita
Lowassa anatembea dizain ya mtu mwwnye kiharusi au kishipa hivi....ila uyu sita migulubaja si kiseng utafikiri mtoto anayejifunza kucheza reggae
Hivi uyu Sitta ni kiwete au mie nilimuona live majuzi hapa akitembea nikabaki nashangaa miguu ile sio kawaida.
Lowassa anatembea dizain ya mtu mwwnye kiharusi au kishipa hivi....ila uyu sita migulubaja si kiseng utafikiri mtoto anayejifunza kucheza reggae
Unanifananisha mkuu...mie na wazee wapi na wapi kwanza hana nidhamu uyu ndio maana alitandikwa bakora na Nyerere.
Anatafuta mademu tu
Six amejishushia heshima kwa kupuuza Rasimu ya wananchi,, ajichukulie posho za BMK na asidhubutu kugombea kwani ameshawapuuza anaotegemea kumchagua.
ha ha ha !! hatari hiiLowassa anatembea dizain ya mtu mwwnye kiharusi au kishipa hivi....ila uyu sita migulubaja si kiseng utafikiri mtoto anayejifunza kucheza reggae
View attachment 179423Kama mzee wa msituni tu..wanataka under 18...