samuel999 yupo wapi?

Ila wewe jamaa mtu wa fix kinoma.
Mara useme wewe wa mirerani
Mara upo east Europe
Mara Nai
Mara Dar.... haha mara umeenda club na usd 1000 hahaha
[emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you guys mtanivunja mbavu mm
 
Be blessed!! Sa hv tushapata shosti wa Kenya inshallah Mungu akijaalia utakua mwenyeji wetu ntakuja na Saint Ivuga mzee wa matotoz mwnyew[emoji23] [emoji23] jus kiddng mtakatifu!
 

Kumbe alikamatwa?.....😱😱!...mamaweee!....huenda ameshibishwa mahalage za hapo Lupango, keshashiba huyo sawasawa.....pole zake kikanzu, kumbe?...😀mmh!
mkuu Askari Kanzu njoo uone wakenya wanakusengenya.[emoji23] [emoji23]
 
Mimi unaweza kuninasibisha na nini?
 
Ila wewe jamaa mtu wa fix kinoma.
Mara useme wewe wa mirerani
Mara upo east Europe
Mara Nai
Mara Dar.... haha mara umeenda club na usd 1000 hahaha
Kweli yote hayo.
Aisee kama huamini naweza kukutumia picha za Nai ngog road ama junction mall nilikula sana sandwich kwenye subway ya mle ndani na kfc.

Yani kote hata east asia ukitaka pic unataka etc
Ila mwambie Inna mbona ananiona mm kama katuni aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…