Natanguliza shukrani kwenyu mashemeji wangu wabongo pamoja na wakenya ,nimeshukuru sana kwa mchango wenyu kwenye uzi huu wangu.
Ni nafuraha isiyo na kifani leo hii kwa kuliweka rekodi hili langu la binafsi
Namshukuru Daby kwa kunipa sapoti
Namshukuru pugu mdoli wangu kwa kunipa motisha
Namshukuru Mungu kwa afya na uhai
Namshukuru mwanzilishi wa JF Max Mello pamoja na wenzake kwa kuileta JF
Namshukuru yule mhuni aliyenitania kwa ukatili wake kwangu
Nawashukuru wabishi wa humu kwa kunipa nguvu za kuwajibu
Nawashukuru wabongo wote
Nawashukuru wakenya wote
Namshukuru Mwanasesere wangu
Namshukuru Bill Gates mwanzilishi wa Google
Namshukuru mwanzilishi wa lugha
Namshukuru mvumbuzi wa umeme
Namshukuru Inna kwa upole wake kwangu
Namshukuru espy kwa uwazi wake kwangu
Namshukuru Icono kwa ukakasi wake
Namshukuru saint Ivuga kwa kutia nanga kwenye uzi wangu
Namshukuru mcheshi na mtundu wa mjini kilam kwa kunijazia uzi
Naona nimehitimisha kurasa kumi.
Mungu awabariki sana
Daby Bongobaby keep it rolling,nashukuru sana.
Masalkheri!