Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Yaani namfahamuje kwamfano? Toa utambulisho ulionyooka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani namfahamuje kwamfano? Toa utambulisho ulionyooka.
Yes.
Wengi kiswahili kigumu kwao.
Nashangaa wewe nani kakufundisha kiswahili fasaha hivi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ebu ngoja nisubiri atakae elewa, alafu nitarejea tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyuzi za wakenya kuzielewa mayb ziandikwe kwa kiingereza. Ndio maana hata huwa sipiti huku.
Tim ni zaidi ya rafiki yangu. Kadri siku zinavyodi kwenda utambulisho mwingine nitaku updateYaani namfahakuje kwamfano? Toa utambulisho ulionyooka.
Hewaaala.Kwa kweli ni mtandao huu wa JAMII FORUMS kaka.
Tangu nilipoigundua JF,nimejiongeza sana kwenye swala la lugha fasaha ya Kiswahili.
Nyinyi wakuu ndiyo mmepelekea nilijue lugha tena niwe na kaujasiri nako,sikuwa na ujasiri wa kuandika kwa Kiswahili hapo awali.
Nakumbuka nikizisoma mada humu nikipita kimyakimya. Nilikua na ashki ya kuzijibu hoja,mawazo yangu yakiwa mazuri tu tena yenye tija kisa tatizo la lugha.
Nikaanza kuwasoma wabongo pamoja na kaka mkuu MK254,polepole nikazifahamu ngeli na mipangilio ya sentensi na kadhalika.
Hata hivyo sijafikia kiwango cha umahiri lakini nawashukuru sana wakuu,bila shaka mui huwa mwema.
Sitawahi isahau JF abadan!
Tangu huu mwaka uanze nishatambulishwa mawifi wanafikia 30 sasa, juzi tu nimeambiwa Kasie ni wifi yangu, sijakaa sawa natambulishwa tena. Sasa mdogo wangu hii tuseme ni balehe ilopitiliza wakati au ni nini hiki?Tim ni zaidi ya rafiki yangu. Kadri siku zinavyodi kwenda utambulisho mwingine nitaku update
Ngoja nami niache kupita hii njia aiseeeee..... Maana ipo siku nitakuja aibika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyuzi za wakenya kuzielewa mayb ziandikwe kwa kiingereza. Ndio maana hata huwa sipiti huku.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ngoja nami niache kupita hii njia aiseeeee..... Maana ipo siku nitakuja aibika
Sasa sister kuna sehemu nimetaja wifi mimi?mbona unaniombea mabaya kaka yako? Walai wewe sitaongozana na wewe tena hata siku moja.Tangu huu mwaka uanze nishatambulishwa mawifi wanafikia 30 sasa, juzi tu nimeambiwa Kasie ni wifi yangu, sijakaa sawa natambulishwa tena. Sasa mdogo wangu hii tuseme ni balehe ilopitiliza wakati au ni nini hiki?
Mie naomba pale utakapokuwa serious kutuletea wifi nyumbani ndio unitambulishe, haya mengine naomba nisiyashiriki tusijeonekana familia nzima ndio wale waleeeee!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
AseehNgoja nami niache kupita hii njia aiseeeee..... Maana ipo siku nitakuja aibika
Ukiongozana na mimi si unajua balaa lake eeh!!Sasa sister kuna sehemu nimetaja wifi mimi?mbona unaniombea mabaya kaka yako? Walai wewe sitaongozana na wewe tena hata siku moja.
(Jokings)
Ohooooo........[emoji15] [emoji15]Aseeh
Walai wewe nitakugawa kwa wakenya ukawe housegirl kibera. Yaani kukuita kote huko ndiyo umeona unifanyie haya.Ukiongozana na mimi si unajua balaa lake eeh!!
Comrade tudumisheni ujirani mwema bwana sio kila sikuOhooooo........[emoji15] [emoji15]
Unaona sasa comrade...[emoji13] [emoji13]
Ebu huyu niachie aiseeeeee....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tangu huu mwaka uanze nishatambulishwa mawifi wanafikia 30 sasa, juzi tu nimeambiwa Kasie ni wifi yangu, sijakaa sawa natambulishwa tena. Sasa mdogo wangu hii tuseme ni balehe ilopitiliza wakati au ni nini hiki?
Mie naomba pale utakapokuwa serious kutuletea wifi nyumbani ndio unitambulishe, haya mengine naomba nisiyashiriki tusijeonekana familia nzima ndio wale waleeeee!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Basi sawa amigo, mingoja niende nikatete nae kule pm...[emoji5] [emoji5]Comrade tudumisheni ujirani mwema bwana sio kila siku
Nairobi vs Dar es salaam. Ila mbona wapo wengi tu angaaangalia bwana
HongeraaKwa kweli ni mtandao huu wa JAMII FORUMS kaka.