Ni kweli Kificho ni mwenyekiti wa muda ila ndio huyo huyo atakaye pita kama mwenyekiti wa kudumu.
Ivi umepiga mswaki leo ulipoamka?
Yeye atakua ni mwongozaji ktk kupatikana mwenyekiti wa kudumu, halafu yeye yeye awe ni mgombea!
Embu shirikisha ubongo unapotoa porojo lako!
...
Anyway, tusiandikie mate!
Kijana jenga uwezo wa kujenga hoja itakusaidia siku za usoni naamini bado umri wako ni mdogo hivyo unapaswa kuweka fikra zako kuwa chanya.
Usipende kumshambulia mtoa hoja jenga uwezo wa kuishambulia hoja kwa kutoa point zenye mashiko. Usisite kunitafuta ukitaka kubadilika kutoka katika mtazamo hasi kwenda chanya. Naamini bado taifa linahitaji mchango wako.
Ndg Kashilila anatamani sana Mwenyekiti atoke Visiwani ili yeye aukwae ukatibu.Ivi umepiga mswaki leo ulipoamka?
Yeye atakua ni mwongozaji ktk kupatikana mwenyekiti wa kudumu, halafu yeye yeye awe ni mgombea!
Embu shirikisha ubongo unapotoa porojo lako!
...
Anyway, tusiandikie mate!
Ndg Kashilila anatamani sana Mwenyekiti atoke Visiwani ili yeye aukwae ukatibu.